Maoni katika picha
Mradi huu ni wa kwanza kufanywa hapa Iraq, na unafanywa na Atabatu Abbasiyya kwa kutumia maji ya visima kama maji mbadala wa yale ya mto Furaat, ulianza kutekelezwa na kitengo cha miradi ya kihandisi cha Atabatu Abbasiyya kwa kushirikiana na idara ya visima ya mkoa wa Karbala, awamu ya kwanza walichimba visima (50).
Mradi huu unafanywa kwa ajili ya kupambana na ukame unao tishia dunia kwa sasa na taifa la Iraq, kutokana na uharibifu wa vyanzo vya mto wa Dujla na Furaat, imelazimika kutafuta maji mbadala ambayo ni maji ya visima.
Kwa maelezo zaidi angalia video.