Maktaba kuu katika chuo cha Al-Ameed yaratibu nadwa kuhusu matumizi ya vifaa vya elimu

Maoni katika picha
Katika kuangalia viashiria vya ubora wa huduma za maktaba chini ya kituo cha misingi ya elimu katika maktaba kuu ya chuo cha Al-Ameed kikiwemo kiashiria cha (je ndani ya maktaba kuna ratiba ya kutambulisha namna ya kutumia vifaa vya elimu), idara ya elimu imekua ikiandaa nadwa za kutambulisha na kuelezea maktaba na sehemu zake kwa wanachuo wa mwaka wa kwanza.

Nadwa hizo hufatiwa na matembezi ndani ya maktaba na kuangalia sehemu zote za maktaba, sambamba na kuwapa zawadi, wasimamizi wa kituo wamesema kua nadwa zitaendelea kwa lengo la kufikisha fikra kwa walengwa kila baada ya muda fulani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: