Kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji kimeanza kutekeleza mradi wa (taifa langu Iraq) kuanzia Nafafu

Maoni katika picha
Wapiganaji wa kikosi cha Abbasi (a.s) Liwaau/26 Hashdi Shaábi wameanza hatua ya kwanza ya mradi wa (taifa langu Iraq), kufanya msako mkali wa jangwani kwa kuanzia Najafu, kazi hiyo inafanywa kwa kushirikiana na makamanda wa opresheni za umoja na Furat Ausatu, kwa ajili ya kusafisha mabaki ya magaidi wa Daesh.

Kamanda wa bluged ya pili katika kikosi tajwa bwana Muqadam Najmi Abdullahi ameviambia vyombo vya habari kua: Katika presheni hii vikosi mbalimbali vinashiriki. Akasisitiza kua: Kikosi cha Abbasi (a.s) kinashiriki kwa kutumia siraha nyepesi, za kati na nzito, pamoja na siraha zingine za kivita zikiwemo ndege za upelelezi zisizokua na rubani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: