Muulize Dokta na upate ushauri kupitia intanet

Maoni katika picha
Kituo cha habari Alqamar chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimeandaa ukurasa kwenye intanet uitwao (Daktari wa familia kielekronik) unao husika na kutoa ushauri wa kidaktari wa aina zote bure.

Kwenye mitandao ifuatayo:

  • - Kwenye mtandao wa facebook andika: daktari-familia-elektronik
  • - Whatsap kupitia namba (07602421257) namba hiyo ni maalum kwa wanawake, kupitia namba hiyo (07602421257) utataja jina na umri wako halafu utapewa ushauri wa kidaktari bure.
  • - Kujiunga katika kundi la telegram andika: (t.me/OnlineFamilyDr) au (@Electronicfamilydoctor).

Kituo kimesema kua kuna madaktari bingwa kutoka ndani na nje ya Iraq ambao wako tayali kujibu maswali ya aina zote, kila mmoja katika fani aliyobobea, madaktari hao wanafanya kazi kwa kujitolea pamoja na kuangalia mazingira ya familia inayo uliza swali, sambamba na hilo watasambaza vipeperushi vyenye ushauri wa kidaktari unaoendana na watu wa rika zote kuanzia watoto hadi wazee.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: