Namna gani utakua mshairi wa Husseiniyya?

Maoni katika picha
Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza kufanyika kwa semina ya kutunga kaswida za Husseiniyya kwa mashairi ya Sha’biy kwa kundi la wanawake.

Kwa ajili ya kuboresha kaswida za Imamu Hussein katika muundo na mizani ya kishairi, sambamba na kushajihisha uandishi wa mashairi ya Husseiniyya ili kuongeza upatikanaji wa mashairi na kuyaingiza katika uwanja wa matumizi kwenye majlisi za mbora wa mashahidi (a.s).

Idara imefafanua kua:

  • - Semina itafanyika kwa kipindi cha miezi sita, siku moja kila wiki.
  • - Semina itaanza Jumaosi ijayo (22 Februari 2020m).
  • - Sehemu itafanyiwa ndani ya sardabu ya Alqami katika Atabatu Abbasiyya.
  • - Uandikishaji utafanywa kupitia moja ya namba zifuatazo: (07602346019 na 078010645244) au tumia ukurasa wa idara kwenye facebook.

Kumbuka kua mkufunzi wa semina hiyo ni mshairi mkubwa wa mashairi ya Husseiniyya Karraar Karbalai.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: