Kwa video: Ujumbe wa kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya kwenye kongamano maalum la kuwazawadia wadau wa matibabu.

Maoni katika picha
Ujumbe wa kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya tukufu, Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi aliotoa kwenye kongamano maalum la kuwazawadia wadau wa matibabu hapa Iraq, linalo simamiwa na hospitali ya rufaa Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu alasiri ya leo Ijumaa (26 Jamadal-Aakhar 1441h) sawa na (21 Februari 2020m) ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan Almujtaba (a.s) katika Ataba tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: