Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kua kesho ni mwezi mosi Rajabu Aswabu.

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Ayatullahi Sayyid Ali Sistani imetangaza kua kesho Jumatano (26 Februari 2020m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Rajabu (1441h).

Hayo yapo katika tamko lililotolewa na ofisi hiyo kwa mtandao wa kimataifa Alkafeel, lifuatalo ni tamko hilo:

Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kua leo tunamalizia mwezi wa Jamadal-Aakhar, na kesho Jumatano sawa na (26/02/2020m) ni mwezi mosi Rajabu mwaka 1441h), tunakuombeni dua…
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: