Muhimu: Kuahirisha swala ya Ijumaa wiki hii

Maoni katika picha
Kutokana na hali ya afya inayo pitia taifa na kulinda usalama wa waumini, sambamba na kufanyia kazi maelekezo ya Marjaa Dini mkuu na maelekezo ya idara ya afya ya Karbala tukufu, imeamuliwa kutokuwepo swala ya Ijumaa wiki hii.

Atabatu Husseiniyya siku ya Alkhamisi mwezi (9 Rajabu 1441h) sawa na (5 Machi 2020m) imetoa tamko lisemalo: (Kutokana na hali ya afya pamoja na kufanyia kazi maelekezo ya idara ya afya ya Karbala, kua ni vizuri kuepuka mikusanyiko mikubwa ya watu katika wiki hii, hivyo imeamua kutokuwepo kwa swala ya Ijumaa wiki hii).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: