Kiongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi amejibu swali linalo ulizwa na wairaq wengi pamoja na walimwengu kwa ujumla, je yanayo tokea ni balaa kwa wanaadamu au ni nini?
Mheshimiwa amejibu chini ya anuani ishemayo: (Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu mtukufu kwa ajili ya kuondoa balaa).
Kupata jibu kamili angalia video