Maoni katika picha
Baada ya ujumbe wa Atabatu Abbasiyya kukamilisha maandalizi yote na kuwafanyia ibada ya kuwashindikiza katika malalo takatifu ya bibi Zainabu (a.s), maandalizi yote yamefanywa kwa kushirikiana na wizara ya mambo ya nje ya Iraq na balozi wa Iraq nchini Sirya pamoja na wizara ya ulinzi ya Iraq na uongozi wa muungano wa opresheni za kijeshi sambamba na serikali ya mkoa wa Karbala na idara ya afya ya mkoa huo.