Shirika la bidhaa za chakula Nurul-Kafeel latangaza majina na sehemu za vituo vya mauzo ya moja kwa moja katika mkoa wa Karbala

Maoni katika picha
Shirika la Nurul-Kafeel chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, limetangaza majina na sehemu za vituo vyake vya mauzo ya moja kwa moja katika mkoa wa Karbala na mikoa mingine, kwa ajili ya kuondoa utata na utapeli, na kuzuwia kila anayetaka kujinufaisha kwa kutumia majina ya bidhaa zetu, ambazo ninakubalika na kupendwa sana, sambamba na kuuzwa bei nafuu hasa wakati huu ambao taifa lipo katika hatari ya kusambaa kwa virusi vya Korona.

Tambua kua vituo hivyo vinauza bidhaa zinazo tengenezwa na shirika la Khairul-Juud, ambazo ni maski na visafishio mbalimbali kwa bei nafuu sana.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: