Muhimu: Maelekezo muhimu kutoka katika ofisi ya Marjaa Dini mkuu.

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu imetoa maelekezo kuhusu hali ngumu inayo pitia taifa kwa sasa kutokana na kupambana na maambukizi ya virusi vya Korona.

Hayo yapo katika jibu la Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani kufuatia maswali yaliyotumwa ofisini kwake.

Kuona maelekezo hayo tazama picha iliyo ambatana na habari hii.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: