Watumishi wa idara ya elimu wanaendekea kuboresha masomo kwa njia ya mtandao

Maoni katika picha
Watumishi wa idara ya elimu katika chuo kikuu cha Al-Ameed wanafanya juhudi kubwa ya kurekodi video za masomo na kuziweka kwenye mitandao ya jamii kupitia mradi wa (Jukwaa la Al-Ameed la elimu kwa njia ya mtandao), ili kudumisha mawasiliano kati ya mwalimu na mwanafunzi.

Watumishi wa kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya walitengeneza jukwaa la Al-Ameed la elimu kwa njia ya mtandao, kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Al-Ameed, ili kuondoa umbali kati ya mwalimu na mwanafunzi na kuhakikisha masomo hayasimami.

Kitenge kimerekodi viteo za masomo yaliyopo kwenye selebasi na kuyaweka mtandaoni kupitia:

  • - Chanel ya (swadal-ameed)

Kitengo kinatoa wito kwa wazazi na walezi kuwaelekeza wanafunzi namna ya kufuatilia jukwaa hilo ili waweze kuona masomo yanayo wekwa kwenye mtandao kwa mujibu wa selebasi zao, tambua kua maswali na majibu yatatumwa kutokana na mada za masomo chini ya uangalizi maalum, na wazazi mtakua na jukumu la kuwasimamia watoto wao majumbani kwenu badala yetu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: