Kituo cha Alqamaru cha habari za namba kimetoa ishara na taarifa za kitabibu

Maoni katika picha
Kituo cha habari za namba Alqamaru chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya kimeanzisha ukurasa uliopewa jina la (daktari wa familia kimtandao) wabobezi wa kutoa ishara za kitabibu bure, baada ya kupata mafanikio makubwa katika huduma wanazo toa, katika hatua hii wamejiandaa kupambana na maambukizi ya virusi vya Korona.

Kituo kimesema kua kina watalamu wa tiba kutoka ndani na nje ya Iraq, wapo tayali kujibu swali lolote na kutoa maelezo kuhusu virusi vya Korona au maradhi mengine, wataalamu hao wanafanya kazi kwa kujitolea na kulingana na mazingira ya familia kwa ujumla, sambamba na mazingira ambayo taifa linapitia kwa sasa.

Njia za kuwasiliana ni:

  • - Ukurasa wa facebook ni (daktafi-familia-mtandao).
  • - Mtaalamu wa maswala ya wanawake, namba ya whatsap ni (07602421257) kwa ajili ya kupata nasaha na maelekezo ya kidaktari pamoja na kutaja jina na umri.
  • - Kwa kujiunga na kikundi cha telegram (t.me/OnlineFamilyDr) na (@Electronicfamilydoctor).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: