Maoni katika picha
Mradi huu ni sehemu ndogo ya kuonyesha thamani ya kujitolea mashahidi hao kwa ajili ya taifa hili, na umuhimu wa familia ambazo zimejitolea wapenzi wao kwa ajili ya kulinda taifa la Iraq na maeneo matakatifu.
Eneo la uwanja unapojengwa mradi huo unaukubwa wa mita za mraba (2500), hatua ya kwanza zimejengwa nyumba nane za makazi kila moja ikiwa na ukubwa wa mita za mraba (200).