Ofisi ya Marjaa Dini mkuu imetoa maelekezo kadhaa wakati ilipokua inajibu maswali yaliyo.
Maelezo hayo yapo katika jibu la Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani wakati akijibu maswali yaliyotumwa ofisini kwake kuhusu swala la kumuosha na kumvisha sanda mtu atakaekufa kutokana na maambukizi ya virusi vya Korona, Na je Mtu aliyekufa kwa maradhi hayo anaweza kuzikwa kwenye eneo la makaburi ya kawaida katika mji husika?
Kwa kuangalia maelezo yake tazama picha iliyo ambatanishwa na habari hii.