Kwa video: Chuo kikuu cha Al-Ameed kinapuliza dawa ya kujikinga na virusi vya Korona

Maoni katika picha
Kupuliza dawa ni miongoni mwa tahadhari zinazo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu katika kujikinga na virusi vya Korona, sambamba na kufanyia kazi maelekezo ya wizara ya afya, katika kiwango cha Ataba tukufu, mji mkongwe na mkoa kwa ujimla, nacho chuo cha Al-Ameed kimeweka mkakati wa kupambana na maambukizi ya virusi vya Korona kwa kushirikiana na kamati maalum iliyo undwa na idara ya Ataba.

Pamoja na kufanya kazi ya kupuliza dawa wametoa machapisho mengi yanayo fundisha namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Korona, pamoja na kufuata maelekezo yote yanayo tolewa na wizara ya afya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: