Mkuu wa shule za wasichana Ustadhat Bushra Kinani ameeleza kuhusu program hiyo kua: “Tunaamini kua balaa hili litapita kwa baraka ya Quráni tukufu na dua, swala pamoja na istighfaar, tumeanzisha program hii ya kimtandao kwa ajili ya kufikia idadi kubwa ya waumini wa kike”.
Akaongeza kua: “Hakika program hii pamoja na kua na athari za kiroho pia ina athari za kinafsi, muhimu zaidi ni kupata utulivu na kuondoa hofu ya balaa la Korona, hayo ni mambo muhimu sana katika kujenga ujasiri, madaktari wanasema kua hofu na wasiwasi vinaathiri uwezo wa kujikinga”.
Kwa wanaotaka kushiriki kwenye program hii waingie katika link zifuatazo:
- - Matamko ya kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya:
https://youtu.be/P7pVTEEl3qA
- - Link maalum ya usomaji wa Quráni:
https://forms.gle/yoYWkzntjX5kR9KU9
- - Link maalum ya istighfaar:
https://forms.gle/aD3UPMZJNLz2A3fu8
- - Link maalum ya swala:
https://forms.gle/d95RJib7pFaGJU1i8
Limeandaliwa sanduku la zawadi, kwa ajili ya kutuma zawadi yako kwa Imamu wa zama (a.f) link ya sanduku hilo ni:
http://wheelofnames.com/ar/7mq-6zf
Kwaniaba ya washiriki wote tutasoma ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na ziaratu Ashura pamoja na dua ya tawasul.