Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kua siku ya kesho Ijumaa tukakamilisha mwezi wa Shabani, na siku ya Jumamosi tarehe (25/04/2020m) ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika mwaka huu wa 1441 hijiriyya.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu mtukufu atujaalie kheri, amani na baraka katika mwezi huu, hapa Iraq pamoja na kwenye mataifa mengine hakika yeye ni mwingi wa kusikia na mwingi wa kujibu.