Idara ya shule za wasichana Alkafeel zinaendesha shindano la (njia ya uwokovu) awamu ya pili.

Maoni katika picha
Idara ya shule za wasichana Alkafeel inaendesha shindano la (njia ya uwokovu) awamu ya pili, ambalo ni sehemu ya ratiba ya mwezi wa Ramadhani.

Kwa mujibu wa maelezo ya kamati inayo simamia shindano hilo imesema kuwa, kuna maswali ya Fiqhi, Aqida na masomo mengine.

Siku ya mwisho kupokea majibu itakuwa mwezi sita Ramadhani saa (6 usiku) watu hamsini (50) wa kwanza watapewa zawadi.

Ratiba hii inalenga kuongeza uwelewa wa Dini na kuongeza elimu kwa mwanamke wa kiislamu, pamoja na kuutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kuongeza maarifa.

Kumbuka kuwa idara ya shule za wasichana Alkafeel ilikuwa imesha fanya awamu ya kwanza ya mashindano haya katika mwezi wa Shabani uliopita, ili kushiriki kwenye shindano hili ingia katika lingi ifuatayo:

https://forms.gle/S92teDRZQYAdHJBT9
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: