Idara ya shule za Alkafeel za wasichana yatangaza majina wa washindi wa shindano la (Rauhu wa raihaanu)

Maoni katika picha
Idara ya shule za Alkafeel za wasichana imetangaza majina ya washini wa shindano la (Rauhu wa rauhanu), lililo fanywa katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imamu Hassan Almujtaba (a.s) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Kiongozi wa idara hiyo bibi Bushra Kinani amesema kuwa: “Shindano lilifikia malengo tarajiwa, lilipata mwititio mkubwa jumla wa wakina dada (513) walishiriki kwenye shindano hilo”.

Akaongeza kuwa: Ilibidi tupige kura ili kupata washindi katika kila kipengele, walio faulu katika kipengele cha maswali ni:

  • 1- Zaharaa Muan Hassan/ umri miaka 10/ Nchi: Iraq – Dhiqaar.
  • 2- Malaku Jabaar Haluul/ umri miaka 10/ Nchi: Iraq – Bagdad.
  • 3- Fatuma Aiham Mahmud/ umri miaka 12/ Nchi: Iraq – Karbala.
  • 4- Samaa Saádi Muhammad/ umri miaka 9/ Nchi: Iraq – Baabil.
  • 5- Zaharaa Hassan Abdullahi/ umri miaka 10/ Nchi: Iraq – Dhiqaar.

Walio faulu katika kipengele za maelezo mazuri ni:

  • 1- Maryam Muhammad/ Karbala/ kwa picha ya sadaka.
  • 2- Swabirina Ali/ Karbala/ kwa picha ya kuwatendea wema wazazi wawili.
  • 3- Batuli Ridhwani/ Karbala/ kwa picha ya sadaka.
  • 4- Israa Ahmadi/ Karbala/ kwa picha ya kuwatendea wema wazazi wawili.
  • 5- Zainabu Aadil/ Dhiqaar/ kwa picha ya kuwatendea wema wazazi wawili.

Walio fauli katika kipengele za picha bora ni:

  • 1- Rataji Mustafa Jaasim/ umri miaka 12/ Mkoa wa Bagdad.
  • 2- Narjisi Mahmudu Shaakir/ umri miaka 12/ Mkoa wa Muthanna.
  • 3- Zainabu Haidari Qassim/ umri miaka 7/ Mkoa wa Karbala.
  • 4- Nuru Razaaq Abduljaliil/ umri miaka 11.
  • 5- Zainabu Ahmadi Swalehe/ umri miaka 10.

Kumbuka kuwa idara ya shule za Alkafeel za wasichana iliendesha shindano hili ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, na lilikuwa miongoni mwa ratiba zake maalum katika mwezi huo, baada ya kupatikana washindi wengi ikalazimika kupiga kura ili kupata majina (100) yatakayo pewa zawadi, shindano hili ni sehemu ya harakati za kitamaduni katika jamii na linasaidia kuongeza uwelewa wa mambo ya kiislamu na kukuza vipaji vya mabinti.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: