Majina ya washindi wa shindano la tatu la (Njia ya uokovu) kipengele cha (Mtazamo katika picha).

Maoni katika picha
Idara ya shule za wasichana Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza majina ya washindi wa shindano la tatu la (Njia ya uokovu) lililo fanywa ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na kupewa jina la (Baina ya mjukuu na njia) lililo husisha wanawake pekeyake, na lilianza katika siku za kukumbuka kuzaliwa kwa Imamu Hassan Almujtaba (a.s) hadi siku za kuomboleza kifo cha baba yake kiongozi wa waumini Ali bun Abu Twalib (a.s).

Kiongozi wa idara hiyo bibi Bushra Kinani ameuambia mtandao wa Alkafeel kuwa: “Shindano lilikuwa na maswali ya kifiqhi, kiaqida pamoja na masomo mengine, yaliwekwa kwenye mitandao ya mawasiliano ya kijamii, na lilikuwa na mwitikio mkubwa, washiriki wengi walijitokeza, washiriki walifika (2098), baada ya kupigia kura majina yaliyo jibu sahihi tukapata washindi kumi wafuatao:

 1. Aalaau Muhammad Karim Alhusseini/ Karbala takatifu.
 2. Rasmiyya Abduzaidi Kaadhim/ Baabil.
 3. Wafaau Hussein Ali/ Kufa takatifu.
 4. Samaah Abbasi Sultani/ Karbala takatifu.
 5. Zainabu Kaadhim Hamza/ Baabil.
 6. Haalah Ahmad Naasir/ Baabil.
 7. Hayam Qais Abdul-Aali/ Karbala takatifu.
 8. Ashwaaq Muhammad Daud/ Basra.
 9. Suhailah Azizi Hussein/ Dhiqaar.
 10. Mina Hassan Abuud/ Karbala takatifu”.

Akafafanua kuwa: “Aidha kulikuwa na washindi wa kipengele cha (Mtazamo wako kuhusu picha) ambao ni:

 1. Janaan Haazim/ Dhiqaar.
 2. Murwah Raadhwi/ Dhiqaar.
 3. Nadiya Faalih/ Muthanna.
 4. Narjisi Twaahir/ Bagdad.
 5. Baniin Abbasi/ Baabil.
 6. Mina Swabiih/ Muthanna.
 7. Imani Faliih Hussein/ Bagdad.
 8. Zainabu Wahiid/ Dhiqaar.
 9. Nurulhuda Dhwiyaau Hassan/ Najafu Ashrafu.
 10. Ghadiir Ahmadi Abbasi/ Swalahu-Diin”.

Kumbuka kuwa idara ya shule za wasichana Alkafeel iliendesha shindano hili katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, katika ratiba yake maalum ya mwezi huo, shindano hili lilikuwa ni miongoni mwa harakati za kitamaduni na kisanii za idara hiyo, kwa lengo la kuenzi utamaduni wa kiislamu na kukuza vipaji vya mabinti.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: