Warsha hii itafanywa kwa ushirikiano wa jumuiya ya Al-Ameed na juo kikuu cha Al-Ameed pamoja na cha Alkafeel, wahadhiri wa warsha hiyo ni:
- - Ali Abduswamadu Aali Farhaad/ mwenyekiti wa kikao/ kutoka kitengo cha maktaba na taaluma katika chuo kikuu cha Basra.
- - Jamali bun Matwar bun Yusufu Salimiy/ rais wa kitengo cha utafiti na taaluma/ kutoka kitivo cha adabu na elumu ya jamii katika chuo kikuu cha Sultani Qabusi.
- - Abeli Inadi Asaaf/ rais wa kamati ya elimu katika jumuiya ya maktaba na vielelezo vya kisiriya.
- - Damushi Osama/ mwalimu wa maktaba na taaluma katika chuo kikuu cha Jilali Alyaabis Sayyidi Biláas – Aljeria, pia ni mjumbe wa kamati ya kupangilia taaluma ya Aljeria.
- - Mahmudu Swalehe Ismaili/ kutoka kitengo cha maktaba katika chuo kikuu cha Mosul.
- - Azharu Zaair Jaasim/ kutoka kitengo cha maktaba na taaluma katika chuo kikuu cha Mustanswariyya.
- - Imadu Bashiri/ mkuu wa kitivo cha habari katika chuo kikuu cha Albananiyya.
- - Mutawaliy Mahmudu Naqiib/ kutoka kitengo cha maktaba na taaluma/ katika kitivo cha adabu –chuo kikuu cha Monoviya.
- - Aiman Swalehe Ali Rahmah/ mkufunzi wa maktaba na taaluma katika chuo kikuu cha Bahra –Sudani-.
- - Amina Madani/ mkufunzi wa Maahadi Al-Aali Litauthiiq, katika chuo kikuu cha Manuba –Tunisia-.
Watagawa vteti vya ushiriki kupitia barua pepe zilizo sajiliwa tu.
Muda wa nadwa kwa mujibu wa nyakati za nchi zingine ni kama ifuatavyo:
Saa 12:00 – 02:00 jioni kwa nyakati za Oman (Maskati).
Saa 11:00 – 7:00 jioni kwa nyakati za Lebanon.
Saa 9:00 - 11:00 jioni kwa nyakati za Tunisia.
Saa 10:00 – 12:00 jioni kwa nyakati za Sudani.
Saa 9:00 – 11:00 jioni kwa nyakati za Aljeria.
Saa 10:00 - 12:00 jioni kwa nyakati za Misri.
Saa 11:00 – 7:00 jioni kwa nyakati za Sirya.
Link ya kujisajili ni: https://us02web.zoom.us/webinar/register/WN_MuUvnq4KQ4-Qghaq2oAOxg