Ofisi ya Marjaa Dini mkuu: Kuzuwia maambukizi ya virusi vya Korona ni jukumu la raia na viongozi

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu katika mji wa Najafu imesema kuwa jukumu la kuzuwia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Korona ni la kila mwananchi na kiongozi, kila mmoja anatakiwa awajibike.

Hayo yapo kwenye tamko alilotoa asubuhi ya Jumamosi (13 Shawwal 1441h) sawa na tarehe (6 Juni 2020m), lifuatalo ni tamko kuhusu jambo hilo:

Hakika mapambano ya janga hili ni jukumu la kila raia na kiongozi, kila mmoja anatakiwa atekeleze wajibu wake, na washirikiane kuvuka kipindi hiki kigumu kwa hasara ndogo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: