Muhimu: Muwakilishi wa Marjaa Dini mkuu ametoa ujumbe kwa wanachi wa Iraq baada ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya Korona

Maoni katika picha
Muwakilishi wa Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya tukufu Sayyid Ahmadi Swafi Alasiri ya leo Alkhamisi mwezi (25 Shawwal 1441h) sawa na tarehe (18 Juni 2020m) ametoa mkono wa pole kwa kifo cha Imamu Swadiq (a.s) pamoja na kutoa ujumbe wa sauti kwa raia wa Iraq, baada ya kuongezeka idadi ya maambukizi ya virusi vya Korona.

Akasisitiza kuwa: “Habari tunazo sikia kila siku hazitii moyo, inatakiwa tujikurubishe zaidi kwa Mwenyezi Mungu mtukufu yeye ndiye muweza wa kuondoa balaa, tunahaja kubwa ya huruma yake aokoe waja na taifa kutokana na janga hili”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: