Watoa mada wa warsha hiyo ni:
- Ustadh Muhammad Alawiy mkuu wa kituo cha utamaduni wa watoto katika Atabatu Alawiyya.
- Dokta Adhraa Ismail Zidani kutoka chuo kikuu cha Bagdad kitengo cha masomo ya mwanamke, pia ni rais wa kitengo cha kujenga uwezo.
- Mwalimu Hiba Abdulmuhsin Abdulkarim, mbobezi wa elimu ya jamii katika chuo kikuu cha Bagdad kitengo cha masomo ya mwanamke.
- Ustadh Haidari Muhammad Hussein Ka’biy, mtafiti wa elimu ya jamii na makamo wa mkuu wa kituo cha utamaduni wa watoto katika Atabatu Alawiyya.
Warsha itaanza saa (11:00 – 01:00) jioni kwa nyakati za Bagdad.
Kumbuka kuwa kuna vyeti vya ushiriki watakavyo pewa washiriki na vitatumwa kwa njia ya (barua pepe zilizo sajiliwa).
Link ya kujisajili ni:
https://us02web.zoom.us/webinar/register/WN_jhgRaZdBRKO51kcmHdxJiA
hakikisha unaandika kwa umakini (jina unalo tumia), (neno la siri) utakalo tumia kuingia (kwenye mkutano) na barua pepe yako utakayo sajili.