Muhimu… Atabatu Abbasiyya tukufu imekanusha kutibu maradhi ya Korona

Maoni katika picha
Atabatu Abbasiyya tukufu imesema kuwa taarifa zilizo sambaa kwenye vyombo vya habari hivi karibuni, kuwa Ataba tukufu na chuo kikuu cha Al-Ameed wamegundua dawa ya virusi vya Korona sio za kweli.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: