Ataba mbili tukufu zimekanusha kufungwa kwa malalo mbili takatifu

Maoni katika picha
Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya zimekanusha kufungwa malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi ya virusi vya Korona, taarifa zinazo sambaa kwenye vyombo vya habari sio za kweli, na wametoa wito kwa vyombo vya habari kuwa makini katika kutangaza habari yeyote, na wachukuwe taarifa sehemu husika.

Vyombo vya habari vilitangaza kuwa idara ya Ataba za Karbala imefunga milango ya Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya kwa sababu ya janga la Korona.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: