Wahadhiri wa warsha hiyo ni:
- - Dokta Naima Hassan/ Dokta wa tafiti za kielimu kutoka chuo kikuu cha Batasergh Marekani.
- - Dokta Hisham Makkiy/ Mkuu wa mipango katika maktaba kuu ya Rojars, Arakansa Masekani.
- - Ustadh Bahaau Twalibu/ Mkuu wa kitengo cha msaada wa kitaalam katika kituo cha faharasi na kupangilia taaluma.
- - Ustadh Hisham Daruweshi/ Mkuu wa shirika la Nasiji.
Muda utakao fanyika warsha hiyo kwa mujibu wa nyakati za kila mji:
Saa 11:00 – 1:00 jioni kwa nyakati za Bagdad.
Saa 12:00 – 2:00 jioni kwa nyakati za Maskat.
Saa 11:00 – 1:00 jioni kwa nyakati za Bairut.
Kumbuka kuwa kuna vyeti vya ushiriki watakavyo pewa washiriki pekeyake, (kupitia barua pepe zilizo sajiliwa tu).
Kujisajili tumia link ifuatayo: https://us02web.zoom.us/webinar/register/WN_BYCIehWZQi2SRQzdlpqPEg?fbclid=IwAR1_DAmmQQDCE65V69mOAsB2LcpxnnMpSvLoL_JKJybLwUk-LSV5Yzpazf0
Hakikisha unapata utambulisho wa kikao katika barua pepe utakatayo sajili, jina unalo tumia (user name), neno la siri (Password), kikao (Meeting).