Jarida hilo linamada za zifuatazo:
- - Juhudi za kusoma lahaja za Aljeria zilizofanywa na wafaransa/ Dkt. Haji Benedi.
- - Masomo ya Istishraqiyyah na turathi za utamaduni katika nchi ya Tunisia wakati wa ukoloni (kutawaliwa) mwaka (1881 – 1965) majaribio ya kutoa picha mbaya/ Muhammad Bashiri Razaqi.
- - Juhudi za Mustashriq wa kijerumani Yuhani Faki katika lahaja za kiarabu/Dkt. Osama Madhwi.
- - Mradi wa Devid Raubeni –Myahudi- wa kuitawala Palestina mwaka (1522 – 1538)/ Dkt. Mustwafa Wajihi Mustwafa.
- - Maendeleo ya lugha ya kiarabu katika nchi ya Ufaransa.. majadiliano/ Jihadu Saadi.
Kupakua taarifa zaidi fungua link ifuatayo: https://m.iicss.iq/?id=99
Kumbuka kuwa jarida la (Dirasati-Istishraqiyyah) linaandika kuhusu turathi za mashariki ya kati na linapambana kuhakikisha maktaba hazikosi jarida linalo eleza harakati za Mustashriqina. Kwa maelezo zaidi fungua link hii (https://m.iicss.iq/?id=99).