Chapisho la kumi na nne la jarida la (Alghadhwiriyya)

Maoni katika picha
Hivi karibuni kituo cha turathi za Karbala chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya, kimechapisha toleo la kumi na nne la jarida la (Alghadhwiriyya), linalo andika kuhusu turathi za mji mtukufu wa Karbala.

Toleo hilo linakurasa (116) limejaa makala mbalimbali zinazo elezea turathi na historia ya mji mtukufu wa Karbala.

Linamilango tofauti na Makala mbalimbali kuhusu mji mtakatifu wa Karbala pamoja na wanachuoni wake, wahadhiri, maktaba, historia, makabila na visa mbalimbali kuhusu mji huo mtakatifu”.

Kumbuka kuwa jarida ya (Alghadhwiriyya) linatolewa na kituo cha turathi za Karbala, kupitia jarida hilo msomaji anaweza kuangalia machapisho yanayo tolewa na kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu, au tembelea toghuti ya kituo ifuatayo: www.mk.iq
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: