Mwaliko wa kushiriki katika nadwa ya kimtandao kuhusu kitabu cha maelezo ya wanachuoni

Maoni katika picha
Kituo cha turathi za Karbala chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinatoa wito kwa waandishi na watafiti wa turathi washiriki kwenye nadwa itakayo endeshwa kwa njia ya mtandao kupitia jukwaa la (Free Conference) kuhusu (namna ya kuandika maelezo ya wanachuoni), siku ya Jumatatu mwezi (7 Dhulhijja 1441h) sawa na (28 Julai 2020h) saa 11:00 Alasiri kwa nyakati za Iraq.

Nadwa itaendeshwa na Sayyid Abdulhakiim Adnani Swafi na mhadhiri atakuwa ni Mhakiki Ahmadi Ali Alhilliy, link ya kujisajili ni: https://forms.gle/GNnho9f2BifewdG38

Washiriki watatumiwa vyeti vya ushiriki kupitia barua pepe zao au kwa whatsap na telegram za simu zao.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba: (07729261327) au tuandikie kupitia lingi ifuatayo: https://t.me/turathKarbalacenter
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: