Marjaa Dini mkuu amesisitiza umuhimu wa kuweka mazingira ya huzuni za Ashura, pamoja na kuheshimu haki za wamiliki wa maeneo ya watu binafsi na kufuata misingi na sheria za nchi, bila kusahau kanuni za afya katika ugawaji wa chakula. Maelezo hayo yapo kwenye jibu lililotolewa na ofisi ya Marjaa Dini mkuu siku ya Alkhamisi mwezi (9 Dhulhijjah 1441h) sawa na tarehe (30 Julai 2020m), lifuatalo ni tamko kuhusu swala hilo: (Kuweka mabango na ishara za maombolezo ya Ashura kwa kupandisha bendera nyeusi, kufunga vitambaa vyeusi kwenye viwanja, barabara na sehemu za umma, sambamba na kuheshimu haki za wamiliki wa maeneo ya watu binafsi na kutii sharia za nchi, sambamba na kuandika ujumbe wa Imamu Hussein (a.s) aliotoa katika harakati yake ya Islahi, kuhusu chakula ambacho watu wamezowea kugawa katika maombolezo hayo lazima zichukuliwe tahadhari za kiafya katika uandaaji na ugawaji wake, hata kama ikibidi kutosheka na kugawa chakula kibichi katika nyumba za waumini ili kuepusha misongamano).

Maoni katika picha
Marjaa Dini mkuu amesisitiza umuhimu wa kuweka mazingira ya huzuni za Ashura, pamoja na kuheshimu haki za wamiliki wa maeneo ya watu binafsi na kufuata misingi na sheria za nchi, bila kusahau kanuni za afya katika ugawaji wa chakula.

Maelezo hayo yapo kwenye jibu lililotolewa na ofisi ya Marjaa Dini mkuu siku ya Alkhamisi mwezi (9 Dhulhijjah 1441h) sawa na tarehe (30 Julai 2020m), lifuatalo ni tamko kuhusu swala hilo:

(Kuweka mabango na ishara za maombolezo ya Ashura kwa kupandisha bendera nyeusi, kufunga vitambaa vyeusi kwenye viwanja, barabara na sehemu za umma, sambamba na kuheshimu haki za wamiliki wa maeneo ya watu binafsi na kutii sharia za nchi, sambamba na kuandika ujumbe wa Imamu Hussein (a.s) aliotoa katika harakati yake ya Islahi, kuhusu chakula ambacho watu wamezowea kugawa katika maombolezo hayo lazima zichukuliwe tahadhari za kiafya katika uandaaji na ugawaji wake, hata kama ikibidi kutosheka na kugawa chakula kibichi katika nyumba za waumini ili kuepusha misongamano).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: