Wanahabari wa Atabatu Abbasiyya tukufu wanaendesha program ya (Yaa kaashifal-kurb) kwa ajili ya kufanya ziara ya Arubaini kwa niaba.

Maoni katika picha
Kituo cha uzalishaji wa vipindi Alkafeel chini ya kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinaendesha program ya (Yaa kaashifa kurb) ya kufanya ziara kwa niaba ya kila aliyeshindwa kuja kufanya ibada ya ziara ya Arubaini mwaka huu, kutokana na tatizo la maambukizi ya virusi vya Korona, ambavyo vimekua pazia baina yao na ziara hii tukufu, kwa kupokea simu na barua ya kila mtu anaetaka kufanyiwa ziara kutoka ndani na nje ya Iraq.

Ratiba hiyo itakuwepo kila siku kuanzia saa tatu jioni hadi saa tano juu ya sakafu ya haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), simu zitapokelewa kupitia mfumo wa mubashara au whatsap kwa namba zifuatazo:

009647821611120

009647703788789

Kituo kimetoa wito pia kwa vyombo vya habari vinavyo penda kurusha matangazo hayo bure watumie anuani zifuatazo:

ip tv
rtmp =
rtmp://173.212.209.197:1935/abbas/live

na kwa matangazo ya Setellite:

Satellite: Eutelsat 7A at 7.0 East(W3A)
DOWNLINK:12680.200 H
MOD:DVBS2
QPSK
FEC:5/6
Sr :3250
HD/MPEG-4
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: