Rais wa mtandao wa habari wa Al-Iraqiyya ametembelea Atabatu Abbasiyya tukufu

Maoni katika picha
Rais wa mtandao wa habari Al-Iraqiyya Dokta Nabiil Jaasim, Jumamosi ya leo mwezi (6 Rabiul-Awwal 1442h) sawa na tarehe (24 Oktoba 2020m), ametembelea malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Baada ya kufanya ibada ya ziara, amepokelewa na mjumbe wa kamati kuu ya Ataba tukufu Ustadh Jawadi Hasanawi, wakakaa na kubadilishana mawazo katika sekta ya habari na utamaduni.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: