Idara ya Quráni chini ya ofisi ya maelekezo ya dini katika Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza majina ya walioshinda katika shindano la (Mbora aliyekuja) la wanawake, lililo endeshwa kwa njia ya mtandao kama sehemu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w), shindano hilo lililenga kuonyesha utukufu wa Mtume na machache katika historia yake takatifu.
Jumla ya watu (150) wameshiriki kwenye shindano hilo.