Tangazo la shindano linalo husu kuzaliwa kwa Imamu Hassain Askariy (a.s)

Maoni katika picha
Idara ya Quráni chini ya ofisi ya maelekezo ya Dini katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangza kuendesha shindano kwa njia ya mtandao linalo husu kuzaliwa kwa nuru ya kumi na moja miongoni mwa maimamu wa Ahlulbait (a.s), Imamu Hassan Askariy (a.s), litafanywa mwezi kumi Rabiul-Thani, kama sehemu ya kuadhimisha mazazi hayo matukufu na kuangazia mafundisho mema yanayo patikana katika uhai wake (a.s).

Shindano litakuwa la kujibu maswali kutoka kwenye kitabu cha (Bendera za uongofu), tambua kuwa kuna zawadi kwa watakao shinda.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: