Majina ya watu walioshinda kwenye shindano la (Nabiyu-Rahmah) na (Twaha).

Maoni katika picha
Maahadi ya Quráni tukufu tawi la wanawake chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza majina ya watu walioshinda kwenye shindano la (Nabiyu-Rahmah) lililo husisha kuhifadhi surat Muhammad (s.a.w.w) na shindano la (Twaha) lililo husisha kuhifadhi surat Muzammilu, mashindano haya yalikuwa ni sehemu ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w).

Kwa mujibu wa maelezo ya kiongozi wa Maahadi bibi Mannaar Jaburi amesema kuwa: “Ushiriki wa mashindano hayo mawili umefanywa kwa njia ya mtandao, na umepata muitikio mkubwa, zaidi ya watu (150) wameshiriki, kazi zao ziliwasilishwa kwenye kamati ya majaji na hatimae kupata majina ya washindi kama ifuatavyo:

Kwanza: Shindano la (Nabiyu-Rahma):

Mshindi wa kwanza: Batuli Aadil Haadi.

Mshindi wa pili: Bintul-Huda Hussein.

Mshindi wa tatu: Batuli Jaasim.

Pili: Shindano la (Twaha):

Nafasi ya kwanza:

  • - Taqii Muhammad.
  • - Taqii Abdul-Ilaahi.
  • - Ruqayya Rashidi Jabaar.

Nafasi ya pili:

  • - Batuli Mushtaqu Ghazi.
  • - Tabaruku Haazim Ridhwa.
  • - Malaku Abdullahi Swalehe.

Nafasi ya tatu:

  • - Zaharaa Ihsaani Ismaili.
  • - Zaharaa Khalidi.
  • - Zaharaa Munímu Rashidi.
  • - Maryam Ahmadi Taklifi”.

Akamaliza kwa kusema: “Walio shinda wanaombwa kufika katika ofisi za Maahadi zilizopo Najafu/ mtaa wa Karama, ili kuchukua zawadi zao, na tunatoa pongezi kubwa wa watu wote walio shiriki kwenye mashindano hayo sambamba na kuwaomba waendelee kushiriki katika mashindano mengine yatakayo fanyika hivi karibuni”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: