Idara ya Quráni imetangaza matokeo ya shindano la (Zaharaa (a.s) furaha ya Mtume)

Maoni katika picha
Idara ya Quráni chini ya ofisi ya maelekezo ya Dini kitengo cha wanawake katika Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza majina ya washindi wa shindano la (Zaharaa (a.s) furaha ya Mtume) kufuatia kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Swidiqatu-Kubra Fatuma Zaharaa (a.s).

Shindano lilikuwa ni kuandika muhtasari wa kitabu cha (Mushahadaatul-Aálaa.. baitu Faatwima tahtal-kisaa) kilicho andikwa na Sayyid Muhammad Ali Halo, kutokana na umuhimu wake kuhusu turathi za maasumina na hadithi-kisaa.

Washindi wa shindano hilo ni:

Mshindi wa kwanza: Fatuma Swalahu Mahadi/ Karbala.

Mshindi wa pili: Fatuma Alaau-Dini/ Karkuuk, na Ghufrani Auda Laazim/ Basra.

Mshindi wa tatu: Maryam Kadhim Karim/ Basra.

Kumbuka kuwa harakati za idara ya Quráni zinalenga kuwajenga wanawake kitamaduni na kielimu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: