Kituo cha kiislamu cha masomo ya kimkakati kimefungua mlango wa kutembelea turathi za Aflatoni

Maoni katika picha
Hivi karibuni kituo cha kiislamu cha masomo ya kimkakati chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimetoa jarida la ishirini na moja la (Umagharibi) linaloandika mambo ya magharibi na uwelewa wake.

Idara ya wahariri wa jarida hilo imeandika tafiti nyingi na kuzipa jina la (Aflatoni katika mambo ya leo) imefungua mlango wa kuangalia turathi za Aflatoni, na kubainisha mbambo aliyosema katika ngazi ya elimu na siasa, pamoja na upembuzi unaolenga kuamsha fikra kwa kuangalia mitazamo ya wanafalsafa na kurejea tafiti zao, lengo ni kuangalia jamii ya watu wa magharibi wa zamani na wa sasa.

Pamoja na kuandika mambo hayo jarida hili limejaa tafiti mbalimbali.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: