Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullahi Sayyid Ali Husseini Sistani (d.dh) katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Jumamosi, tunakamilisha mwezi wa Jamadal-Aakhar, na siku ya Jumapili sawa na tarehe (14 Februali 2021m) ndio siku ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Rajabu mwaka 1442 hijiriyya.