Inalenga kuongeza uwezo wa vijana katika fani hiyo, itakua chini ya ukufunzi wa walimu mahiri waliobobea katika fani hiyo, kutakuwa na mada nyingi kuhusu fani hiyo, zinazo endana na umri wa washiriki.
Mada zitakazo fundishwa ni:
- - Kujiamini na uthubutu.
- - Kuandaa tamko.
- - Vipaji vya sauti.
- - Vipaji vya lugha ya muili.
Semina itakuwa na:
- - Kufanyia kazi vipaji kwa vitendo.
- - Wajibu mbalimbali.
- -
- -
- - Washiriki watapewa vyeti.
- - Watakao fanya vizuri watapewa zawadi.
Wanafunzi hodari watapewa kipaombele cha kukaribishwa katika semina zijazo za kuhudhuria moja kwa moja darasani au kwa njia ya mtandao bure.
Link ya kujisajili ni: https://forms.gle/ZBktWDupsr8A9rcA7
Link ya semina ni: https://t.me/joinchat/Y5myQln7Jo40NTNi