Kikao cha tano cha uwasilishaji wa mada za kitafiti kwa njia ya mtandao kuhusu kupewa Utume

Maoni katika picha
Kongamano la kielimu kwa njia ya mtandao kuhusu kupewa utume limeshuhudia uwasilishwaji wa mada tofauti za kitafiti zilizo wasilishwa na wasomi wa hauza na sekula, miongoni mwa mada hizo ni:

  • - (Uwelewa wa tabia njema na uhalisia wake kwa Mtume Muhammad –s.a.w.w)/ mtoa mada Mheshimiwa Sayyid Izu-Dini Alhakiim.
  • - (Mtume Muhammad ni mjumbe wa rehema na kilele cha tabia njema)/ mtoa mada Ibrahim Aati mkuu wa masomo ya juu katika chuo kikuu cha masomo ya kiislamu- Landan.
  • - (Picha ya Mtume Muhammad –s.a.w.w- katika nchi za Ulaya na mizizi ya uislamu kwenye nchi hizo)/ mtoa mada Profesa Oliva Sharbuti mkufunzi wa masomo ya kiislamu –kitengo cha Dini katika chuo kikuu cha Baramkaham katika umoja wa nchi za ulaya-.
  • - (Kuangalia neno kitabu cha Mwenyezi Mungu katika hadithi ya vizito viwili)/ mtoa mada Halili Andani mkufunzi wa chuo cha Ogastana.
  • - (Ukamilifu wa Mtume katika tabia njema)/ mtoa mada Dokta Sajjaad Ridhwa mkufunzi wa chuo kikuu cha Akstara.
  • - (Mtazamo wa mwisho wa Utume)/ mtoa mada mkufunzi Dokta Hussam Ali Hassan Al-Ubaidi rais wa kitengo cha sheria katika chuo kikuu cha Alkafeel.

Kumbuka kuwa kongamano la kielimu kwa njia ya mtandao kuhusu Utume, linasimamiwa na chuo kikuu cha Alkafeel kwa kushirikiana na muwakilishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu katika nchi za Ulaya chini ya kauli mbiu isemayo: (Hakika wewe uko juu ya tabia njema).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: