Muhimu: Jumatatu ya kesho ni mwezi mosi Shabani kwa mujibu wa ofisi ya Sayyid Sistani (d.dh.w)

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Ayatullahi Sayyid Ali Husseini Sistani (d.dh.w) katika mji wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatatu tarehe (15 Machi 2021m) ni mwezi mosi Shabani mwaka 1442 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: