Kongamano la kielimu kuhusu kuzaliwa kwa miezi ya Muhammadiyya

Maoni katika picha
Jumuiya ya Al-Ameed kwa kushirikiana na muwakilishi wa Atabatu Abbasiyya katika nchi za Ulaya pamoja na chuo kikuu cha kiislamu cha Lebanon, imekusudia kufanya kongamano kuhusu kuzaliwa kwa miezi ya Muhammadiyya chini ya anuani isemayo: (Kuchomoja mwezi… ni kuhuisha mwenendo wa Mtume Mteule na Aali zake watakatifu) na (Mji wa Karbala na harakati za kifikra).

Saa tisa Alasiri siku ya Alkhamisi (4 Shabani 1442h) sawa na tarehe (18 Machi 2021m), na kutakuwa na kongamano la kuhudhuria litakalo zingatia tahadhari zote za kujikinga na maambukizi ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan (a.s) katika Atabatu Abbasiyya tukufu, na kwa njia ya mtandao kwenye jukwaa za zoom kupitia link ifuatayo: https://us02web.zoom.us/j/3740873005

Kwa maelezo zaidi piga simu namba (07602323337).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: