Chuo kikuu cha Alkafeel kinatoa wito wa kuhudhuria kwenye kongamano lake la kimataifa awamu ya tatu kuhusu fani ya udaktari na uhandisi pamoja na elimu zingine. International Scientific Conference of Alkafeel University (ISCKU).
Linalo tarajiwa kufanyika ndani ya ukumbi wa Shekh Nasru-Dini Tusi katika kitivo cha udaktari wa meno, saa nne asubuhi siku ya Jumatatu (22/03/2021m), kupitia link ifuatayo: https://alkafeel-edu-iq.zoom.us/my/iscku
Passcode
kafeel