Toleo la kumi na saba la jarida la (Alghadhwiriyyah)

Maoni katika picha
Hivi karibuni kituo cha turathi za Karbala chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimetoa nakala ya kumi na saba ya jarida la (Alghadhwiriyyah).

Jarida hilo limeandika kuhusu habari za kituo cha turathi za Karbala, pamoja na makala zinazo husu mji huu mtukufu, zikiwemo taarifa za viongozi wa kidini na maudhui kuhusu turathi na historia ya Karbala.

Kumbuka kuwa jarida ya (Alghadhwiriyyah) ni moja ya marajida yanayotolewa na kituo cha turathi za Karbala, msomaji anaweza kulisoma jarida hilo pamoja na machapisho yote ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu kupitia toghuti ifuatayo: http://www.mk.iq/
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: