Kiongozi mkuu wa idara ya mali ametembelea Atabatu Abbasiyya tukufu

Maoni katika picha
Kiongozi mkuu wa idara ya mali za serikali Sayyid Hassan Makotwar leo siku ya Jumatano mwezi 8 Ramadhani 1442h sawa na tarehe 21 Aprili 2021m, ametembelea Atabatu Abbasiyya tukufu.

Baada ya kumaliza ibada ya ziara yeye pamoja na ugeni alio fuatana nao, wamekutana na mjumbe wa kamati kuu ya Atabatu Abbasiyya Ustadh Jawadu Hassanawi na baadhi ya marais wa vitengo, Hassanawi ameeleza baadhi ya miradi inayo fanywa na Ataba tukufu na kuhudumia mazuwaru watukufu pamoja na jamii kwa ujumla katika sekta tofauti.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: