Chuo kikuu cha Al-Ameed kimepata shahada ya viwango vya ubora wa vifaa vya maabara

Maoni katika picha
Chuo kikuu cha Al-Ameed na walimu wa maabara wamepata shahada ya viwango vya ubora wa vifaa vya maabara, sambamba na kuwasha kifaa cha (ELISA) na kujiandaa kukiingiza katika utendaji.

Shahada hiyo imetolewa na tume ya wakaguzi wa vifaa vya kemia ya Iraq iliyo tembelea maabara za chuo hicho na kuangalia utendaji wake, pamoja na kukutana na rais wa chuo Dokta Muayyad Ghazali na watumishi wengine.

Wametembelea pia vitivo vya chuo na kufanya mazungumzo na wakuu wa vitivo hivyo, pamoja na kuangalia mikakati waliyo nayo na mipango ya utekelezaji wake na jinsi inavyo nufaisha wanafunzi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: