Kitengo cha masomo ya Quráni kimeongeza kipindi cha usajili

Maoni katika picha
Kitengo cha masomo ya Quráni katika chuo kikuu cha Ummul-Banina (a.s), chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimetangaza kuongeza kipindi cha usajili kwa watu wanaopenda kujiunga na masomo.

Usajili unafanywa kwa njia ya mtandao kupitia link ifuatayo:

https://docs.google.com/.../1FAIpQLSfRqxaIegWUB7.../viewform

Kumbuka kuwa kitengo hiki kimejikita katika ufundishaji wa masomo ya Quráni na maarifa ya vizito viwili –Quráni na Ahlulbait (a.s)- kwa njia ya mtandao, muda wa masomo ni miaka minne mfululizo, chini ya mfumo maalum wa masomo unao endana na mfumo wa hauza ya Najafu, ulio andaliwa na wasomi walio bobea katika fani za Quráni upande wa hauza na sekula.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: